id 1-Nyumba ya vyumba 4 - Manyanya Engineering
SUBTOTAL :

Connect with your customers

Contact Form

Name

Email *

Message *

Nyumba za Makazi price_$120
id 1-Nyumba ya vyumba 4

id 1-Nyumba ya vyumba 4

Nyumba za Makazi price_$120
Short Description:
Eneo nyumba itakapojengwa
: Upana Usipungue 19-m Urefu Usipungue 21-m Kiwanja Chako Kisipungue
: Ukubwa Usipungue 468-SQM
au,
Ukubwa Kujinafasi 748-SQM
NYUMBA YA VYUMBA VINNE VYA KULALA NA NI NYUMBA NZURI NA YA KISASA KABISA KWA MAISHA YA KITAZANIA

Product Description





Ufafanuzi wa Kitaalamu wa Nyumba Hii

Ukubwa wa Nyumba (SQM)187SQM
Idadi ya Vyumba vya Kulala Vyote4
Idadi ya Vyumba + Choo1
Idadi ya Vyumba + Pakuvalia + Choo1
Idadi ya Vyumba Kawaida2
Idadi ya Dining1
Idadi ya Sebule1
Idadi ya Jiko1
Idadi ya Stoo1
Idadi ya Vyoo Public1
Idadi ya Bafu Public1
Idadi ya Veranda / Bakoni2
Idadi ya Tofali za Block (6') kwa Kuta3367
Idadi ya Tofali za Block (6') kwa Msingi1665
Idadi ya Bati za Kawaida (mita 3 urefu)129
Material ya Paa
  • Corrugated Iron Sheets
  • Industrial Trough
  • Clay Tiles
Staili ya Paa
  • Pitch Roof
Aina ya Kuta
  • Cement Sand Blocks
Hali ya Hewa Inayofaa
  • Sunny
  • Windy
  • Rainfall
Staili ya Nyumba  Classical
Kiwango cha Gharama Ujenzi     A Bit Premium

0 Reviews:

give your thoughts